• eLengo is East Africa's farming hub, combining an online community, educational resources and dynamic marketplace to help you reach your full potential.

    Guests may browse our forums, but to participate in the conversations you must be logged in. We encourage you to join now- it's easy and it's FREE!

    (and it will make this box go away)

Chickens Ufugaji wa kuku

Paulpaya

New member
Nyumba ya kuku ,inatakiwa iwe na vigezo gani kabla na hata sija chukua hatua ya kuwaleta hao kuku ili niendelee na zoezi zima la kuwa hudumia
 
nedward

Veterinarian
Nyumba ya kuku ,inatakiwa iwe na vigezo gani kabla na hata sija chukua hatua ya kuwaleta hao kuku ili niendelee na zoezi zima la kuwa hudumia
Lazima nyumba ya kuku uwe na ujenzi kulingana na utaalam malum kama unavyo weza kupata kwenye kielekezo hiki http://mkulima.co/threads/poultry-housing-guide-structures.76/. Kwa kuendelea, ikiwa utapokea kuku wako wakiwa vifaranga , nilazima utawalea mwanzo kwenye sehemu au eneo maalum uitwayo "brooder" kwa lugha ya kimombo https://mkulima.co/threads/how-to-build-a-brooder-for-your-day-old-chicks.58/
 
Last edited by a moderator:

HAS

New member
Mie ndio kwanza nataka nianze ufugaji wa kuku but eneo lipo kijijini na uwezo wangu wa kujenga banda la matofali ni mdogo unless nijenge la udongo so pls mnaweza kunipa msaada how to buid it tafadhali?
 
Maeneo unayo taka kufugia kuku ndiyo itakuelekeza utumie nini kwa ujenzi wa banda. Ukuta unaweza ukaujenga kutumia vibanzi(off cuts), mabati, udongo, tofali nakadhali. Ila tu ramani au mchoro huo iambatane na kuzingatia vigezo vya ujenzi wa banda la kuku namna uliviyo elekezwa hapo juu.
 
Last edited:

christianhance

New member
habari! nataka kufuga kuku ila sijajua aina za vyakula vya kukwakazania ili nipate maendeleo mazuri ya hao kuku ili wasipishane na matarajio
 
Top