Lazima nyumba ya kuku uwe na ujenzi kulingana na utaalam malum kama unavyo weza kupata kwenye kielekezo hiki http://mkulima.co/threads/poultry-housing-guide-structures.76/. Kwa kuendelea, ikiwa utapokea kuku wako wakiwa vifaranga , nilazima utawalea mwanzo kwenye sehemu au eneo maalum uitwayo "brooder" kwa lugha ya kimombo https://mkulima.co/threads/how-to-build-a-brooder-for-your-day-old-chicks.58/Nyumba ya kuku ,inatakiwa iwe na vigezo gani kabla na hata sija chukua hatua ya kuwaleta hao kuku ili niendelee na zoezi zima la kuwa hudumia
Maeneo unayo taka kufugia kuku ndiyo itakuelekeza utumie nini kwa ujenzi wa banda. Ukuta unaweza ukaujenga kutumia vibanzi(off cuts), mabati, udongo, tofali nakadhali. Ila tu ramani au mchoro huo iambatane na kuzingatia vigezo vya ujenzi wa banda la kuku namna uliviyo elekezwa hapo juu.Mie ndio kwanza nataka nianze ufugaji wa kuku but eneo lipo kijijini na uwezo wangu wa kujenga banda la matofali ni mdogo unless nijenge la udongo so pls mnaweza kunipa msaada how to buid it tafadhali?